Madolla

Biography

Malindi inamtambua kama king wa michano kwa vina na flow kali ya kiuhakika,bidii yake kwenye mziki imempa umaarufu huku akipata nafasi kufanya kazi na wasanii wenye kutajika pwani.Madolla alianza mziki miaka kadhaa iliyopita huku akiwa na ndoto ya kufunika wanaojiita wakongwe wa michano.Amewahi kufanyakazi katika studio ya TeraByte records inayomilikiwa na Producer Jokka huku akiachilia nyimbo kadhaa ikiwemo HISIA ZANGU,BARAFU WA MOYO na NAJITUMA. Safari yake ya mziki haikuishia hapo kwani kile alichokuwa akikichimba hakikuwa rahisi hadi pale alipokutana na mkali wa vocal pwani Kidis na kuachilia hits iliokwenda kwa jina KIMPANGO. Nakumbuka mistari kadhaa"nimetoka far kimziki mi sina maringo, ehh bwana sina maringo" kama kibwagizo ambacho Kidis alichokifanya na Madolla kukomaza verse.Kwa sasa yuko mbioni kutayarisha video.

Artist information

Real Name Madolla
Born 07-07-1992
Place Nairobi

Works

1 Madolla
2 Madolla
3