Katoi wa Tabaka, jina lake linaongelea kimo na miaka lakini sio mtazamo wenyewe ikilinganishwa na kichwa alichokibeba msanii huyu chenye uwezo mkubwa wa ubunifu na ujanja wa hali ya juu.

Katoi ambaye amekuwa kwenye kikundi cha TABAKA akiwa na Mbuyu wamekuwa waanzilishi wa mziki wa hip hop mkoani pwani kwa jumla.Msanii huyu kwa sasa ameachilia album yake itwayo KAYA HIPHIP MUSIC huku akitayarisha nyimbo hizo kwenye studio tofauti nchini na ng’ambo.

Yeye kama mkaazi wa Malindi amefanya collabo kadhaa na wasanii wa Italy kama vile Giulia ugatti acoustic soul singer na Enose Dee, mkenya anayeishi Rome .

SHARE
Previous articleKaraoke na Angiey Fresh
Next articleCfree Chrisborn
Why have I been traveling so much? Because I have grown to like and love Malindi, I want to take risks, meet interesting people, challenge myself, explore the world, and learn more about myself in the process. This also helps me tell the story of how interesting Malindi.