Hip hop beyond the Mic  is a platform that looks to use Music as way to pass message of different issues affecting people especially the Youth. Catch up what you missed on 3rd April 2016. 
Kama tulivyoahidi, Karaoke ya Wiki hii (30th November 2016), ilikuwa na sheshe kibao huku Kikundi cha Dirty Crew kikiachalia Video yao mpya kwa mara ya kwanza. Cheki picha hizo                                                                                                                                          
Pilka pilka zangu hunipeleka sehemu nyingi na kwa bahati nzuri nimepatana na watu wengi wa hulka tofauti tofauti. jana nilikuwa katika show ya karaoke ndani ya Pine court beach bar. Wiki hii, msanii kwa kufoka na Kuimba Kelsa Kelvin alikuwa "Guest Artist". Nilipatana na Kijana mtanashati kwa jina William Karisa aka kabyser. Hivi ndivyo mazungumzo yalivyoenda:-Komz: Nimependezwa unavyoimba, je...
It is believed that misery loves company. I am not sure of this but what i know from many is that fun also loves company. Many tend to get bored when they are alone, a syndrome that has been named loneliness. For this reason, many tend to have people accompany them when going  to party.So where i am going with...
Ningependa kukitambulisha rasmi kipindi chetu cha Malindians kwenye mtandao wa YouTube. Hiki ni Kipindi ambacho kitakuwa kikimulika panda shuka za wakaazi wa Malindi kwa lugha ya Kisasa "Hustles". Kipindi hichi kiko katika Season yake ya pili. Season ya Kwanza ilifanyika mwaka uliopita (2015).YOUNG NJITA - MSANII WA HIPHOP MALINDI KENYALeo hii ningependa kuangazia pilkapilka za kijana mtanashati, gwiji wa...
Pine Court Hotel Malindi inconjuction with Malindians.com invites you to the Karaoke Open Mic Night this and every Wednesday as from 8.30pm at Pine Court Beach Bar. Pine Court Karaoke / Open mic has the best of Malindi nightlife with amazing crowd and Music. Every week we sample Malindi Finest artists creating a platform for revellers to interact one on one with...
Bluetooth headsets These wireless headsets are the in-thing and you'll spot everyone rocking them in town. Apart from their convenience, as they connect to most phones, mp4's and car stereos, they are also sporty to wear and they add color to your outfit instantly. No more struggling to entangle earphones for a whole five minutes. Get yourself a pair...

FOLLOW ME

4,221FansLike
156FollowersFollow
16,989FollowersFollow
1,810FollowersFollow
165SubscribersSubscribe

Find us on Facebook

POPULAR ARTICLES