27 C
Malindi
Kama ilivyokuwa desturi ya pilka pilka za watu wa Malindi, Kila Jumatano Malindians ikishirikiana na Pine Court Hotel huandaa Karaoke Night. Hii huwa si Karaoke ya kawaida kwani huwa na mgeni maalamu kila wiki. Msanii mmoja kutoka kapu la wasanii wengi mahiri mjini anakuwa "co-host" wa Karaoke hiyo. Wiki hii Ommy Dee ndiyo aliyetufanyia makamuzi ...
Ningependa kukitambulisha rasmi kipindi chetu cha Malindians kwenye mtandao wa YouTube. Hiki ni Kipindi ambacho kitakuwa kikimulika panda shuka za wakaazi wa Malindi kwa lugha ya Kisasa "Hustles". Kipindi hichi kiko katika Season yake ya pili. Season ya Kwanza ilifanyika mwaka uliopita (2015).YOUNG NJITA - MSANII WA HIPHOP MALINDI KENYALeo hii ningependa kuangazia pilkapilka za kijana mtanashati, gwiji wa...
“We have a total of 61 room that are no the ground floor from the 19 villa. These villas are surrounded by a beautiful well-kept tropical garden that is overlooking either the ocean or the pool. Each of these room/ villas is equipped with a private living room, minibar, air condition, a safe, a bathroom with a hair dryer...
Have you ever listened to a song on radio and felt like smashing the audio machine to pieces or watched a song either on TV or a computer and felt really disappointed in humanity, that’s what happened to me yesterday, let me explain more.While doing constructive online research which in essence means passing employers time doing things that might...

FOLLOW ME

4,221FansLike
155FollowersFollow
18,621FollowersFollow
1,818FollowersFollow
171SubscribersSubscribe

Find us on Facebook

POPULAR ARTICLES