One of the most successful music group in Malindi, Dirty Crew released a new video for their single "Dirty Game". The video was done by an inspiration Mind Bonaya "Bissani" off Bissani Effect. Check the video out below
Kama tulivyoahidi, Karaoke ya Wiki hii (30th November 2016), ilikuwa na sheshe kibao huku Kikundi cha Dirty Crew kikiachalia Video yao mpya kwa mara ya kwanza. Cheki picha hizo                                                                                                                                          
kila wiki, kama ilivyokuwa ada ya watu wa Malindi, Pine Court Beach Bar huandaa Karaoke Night siku za Jumatano. Wiki hii itakuwa very special, kwani kikundi cha wasanii kinachojulikana kama "Dirty Crew" watakuwa ndani kama Guest artist na vile vile watakuwa kwa mara ya kwanza wakiangusha video yao mpya.Usikose kufika Pine Court Beach, opposite Nakumatt malindi kuanzia 9pm siku...
Pine Court Hotel Malindi inconjuction with Malindians.com invites you to the Karaoke Open Mic Night this and every Wednesday as from 8.30pm at Pine Court Beach Bar. Pine Court Karaoke / Open mic has the best of Malindi nightlife with amazing crowd and Music. Every week we sample Malindi Finest artists creating a platform for revellers to interact one on one with...
Kulingana na tetesi na story mtaani kupitia Malindi Superstars inasemekana kwamba  Chini ya mkataba wa Malindi Records ,Msanii JITUZEE mmoja wakikundi cha GBT kenya atiananga nakuanza kazi zake mpya Ambapo kwa sasa kazi yake ya kwanza amewashirikisha wasanii waliofanya kazi pamoja nakutoa HIT SONG "BOOGIE ZEE" iliyovuma nje na ndani ya nchi ya kenya,BLAZEE familiy akiwemo #Private soldier na...
Msanii Worsty kutoka mjini ameachilia dude katika cyberwaves akimshirikisha CEO wa Good Times record, Krazy P. Nyimbo yenyewe iko na ladha ambayo wasanii kadhaa kutoka Caribbean hasa zile pande za Jamaica walihit nazo. Cheki hii video uniambie.
Je wajua kwamba jasho la kwapani kwa mwanaume likipakwa kwenye lipsi za juu katika mdomo wa mwanamke limethibitishwa kumfanya mwanamke kuwa na furaha muda mwingi?Najua wengi hawajui hili. Lakini kulingana na utafiti uliofanywa University of Pennsylvania, pheromones za kiume zinaweza kuongeza mood ya mwanamke na kuchochea kutolewa kwa homoni ambayo inasimamia mzunguko wa hedhi.Katika utafiti huo, watafiti walitumia chembembe (extracts) za...
Pilka pilka zetu jana zilitupeleka pine ambapo tulikuwa na wasanii kutoka Watamu Lil Mizze na T. Bouy walifanya mambo. Hebu cheki picha

FOLLOW ME

0FansLike
156FollowersFollow
16,240FollowersFollow
1,801FollowersFollow
163SubscribersSubscribe

WEATHER

POPULAR ARTICLES